I Found A Love (feat. City Boys)

AugustAr OmK

Compositor: Não Disponível

Nakutumia salamu, Tafadhali pokea
Tena nachunga kwa hamu, message yakurudiya
Please ufahamu, moyo wangu una kuliliya
Na nakuchunga kwa hamu, nachoka ku vumiliya

Asa nani nimpende, we ndo baby wangu
Fanya urudi nyumbani, kuishi peke siwezi hee
Asa kipi nitende, ili urudi kuwa wangu baby niko tabani
Hee kuishi peke siwezi hee

Njo unikoe mama

©2003- 2026 lyrics.com.br · Aviso Legal · Política de Privacidade · Fale Conosco desenvolvido por Studio Sol Comunicação Digital